Mgombea ubunge jimbo la Bukombe Prof kahigi akibadilishana mawanzo na mwenyekiti mstaaf wa ccm mkoa khamis mgeja aliahamia chadema kabla ya kuwasili mgombe urais kupitia umoja wa katiba ukawa katika viwanja vya shule ya msingi Bukombe
Mh ole Medeye akihubia wakazi wa jimbo la bukombe kabla mgombea Urais Edward lowassa kuwasili katika viwanja hiyo .
Mh Rajabu mbaruku akieleza wakazi wa jimbo la bukombe kujitokeza kwa wingi siku ya kupinga kura na kuondoa chama cha ccm madarakani mwaka huu
Ummati kubwa wa wakazi wa jimbo la Bukombe
Katibu mkuu wa NLD Tozzy Matwanga pia ni katibu mkuu mwenza wa ukawa
Mh Khamis Mgeja akitolea ufafanuzi juu yake kuondoka ccm katika viwanja vya shule ya msingi bukombe
Mgombea urais aliyesimamishwa na umoja wa katiba ukawa kupitia chama cha maendeleo na Demokrasi chadema akiwasili katika wilaya ya Bukombe mkoa wa Geita katika viwanja vya shule ya msingi Bukombe
Tumewasili Bukombe
Waziri mkuu mstaafu Fredrick sumaye akiwapungia mkono wananchi wa jimbo la Bukombe
Mgombea ubunge jimbo la Bukombe Prof kahigi wakibadilisha mawanzo na mgombea urais kupitia ukawa Edward Lowassa katika viwanja vya shule ya msingi Bukombe .
Waziri mkuu msatafu Fredrick sumaye akiwa na mwanasheri mkuu wa chadema Tuddu Lussu katika viwanja vya shule ya msingi Bukombe
Mwanasheri mkuu wa chadema Tuddu Lussu akihubia umati wa kazi wa Bukombe
Waziri mkuu msatafu Fredrick sumaye akiwa katika viwanja vya shule ya msingi Bukombe
Ummati
Mgombea Edward lowassa maelezo sera za ukawa katika kampeni yake wilaya ya Bukombe na kusema kuwa atawasaidia wachimbaji wadogodogo na wafungaji na kuleta bank ya wajasilimali
Mzee shikamoo haya ni maneno ya wanasheria mkuu wa chadema akisamie ole medeye mgombea Urais Edward Lowassa muda mfupi tu baada ya kumaliza mkutano wake wa kampeni jimbo la Bukombe
Mama huyu alishindwa kujizui na kutomjali mtoto wake kwa furaha ya kumuona mgombea urais Edward Lowassa muda mfupi baada ya kuwasili bukombe
Tuchague
viongozi wanaotoka vyama vinavyounda UKAWA. Kwa kufanya hivyo itatupa
nafasi ya kusimamia kwa uhakika Afya ya mama na mtoto. Edward Lowassa
No comments: