KARIBU SANA MISEYE MGOMBEA URAIS KUPITIA UKAWA AKIWASILI KATIKA VIWANJA VYA MASHUJAA MISEYE
WANGOMBEA WA NAFASI YA UDIWANI KATIKA JIMBO LA NKENGE WAKIWA NA MGOMBEA UBUNGE WA JIMBO HILO KUPITIA CHADEMA JUU NA WAKIWA PAMOJA NA MGOMBEA URAIS KUPITIA UKAWA EDWARD LOWASSA .
MTAMPA KURA NDIYOOOOOO
Dira yetu ni kilimo cha kisasa,hakuna kulipa ushuru wa mazao, uza popote unapotaka Mabadiliko2015
MZEE DEOGRATIAS KAHANGWA AKIOMBA KURUDISHA KADI YA CCM KWA
MGOMBEA URAIS KUPITIA UKAWA EDWARD
LOWASSA KATIKA VIWANJA VYA MASHUJAA .
BAADHI YA VIJA WA CCM WALIKUWA WANACHAMA WAMERUDISHA KADI ZAO MBELE YA MGOMBEA URAIS KUPITIA UMOJA WA KATIBA UKAWA EDWARD LOWASSA KATIKA VIWANJA VYA MASHUNJAA .
ULINZI KAMA KAWAIDA YA MKUTANO YA CHADEMA HAPA NCHINI
"Ccm lazima iondoke kwa sababu haijatekeleza yale iliyoahidi,chama
kinachokaa madarakani muda mrefu kinajenga kiburi" Sumaye -Misenyi
Bukoba
BIBI AKISIKILIZA SERA ZA CHADEMA KATIKA VIWANJA VYA MASHUJAA KATIKA JIMBO LA MISEYI
SIAMINI MACHO YANGU HUU WOTE NI KWA AJILI YETU ASANTE SANA KWA KUNIONYESHA IMANI KWENU NA MIMI NIPE KURA NITAWAPA MAJIBU
UMMATI WA WAKAZI WA JIMBO LA MISEYI WAKISIKILIZA SERA ZA UMOJA WA KATIBA YA WANANCHI UKAWA
No comments: