Masasi ipo tayari kwa mabadiliko, muda huu katika viwanja vya Boma Masasi Lindi,Mabadiliko2015
ASANTENI SANA WATU WA MASASI, Mabadiliko2015
Katibu mwenza wa ukawa ,na pia ni katibu mkuu wa NLD Tozzy
matwanga akitoa salamu za umoja wao na kuomba kura zote kupingia Edward Lowassa
mwezi wa kumi tarehe 25.
Umati wote huu Twaweza wamefikia watu 2 tu,hao 2 walichagua Lowassa,utafiti wa uongo, Sumaye -Masasi
Uchaguzi huu ni wako mwananchi, ni wako mpiga kura. Mimi na nyie tujiandae kwa mabadiliko baada ya kupiga kura Oct 25
Mgombea ubunge jimbo la masasi undamba makombe akitoa maelezo kwa ngombea urais,Edward lowassa katika viwanja vya Boman kero za wananchi wa jimbo la masasi
Uamue watoto umri 0-5 pamoja na wazee watibiwe bure, na wazee wapewe pensheni zao"edwardlowassatz
Baadhi ya kinamama wa jimbo la masasi walishindwa kujizui na kuanza kucheza katika viwanja vya Bomani
No comments: