sponsor

sponsor

Slider

Theme images by kelvinjay. Powered by Blogger.

Kimataifa Habari

habari

Habari Za Mastaa

Michezo

simulizi za kusisimua

» » » TUMPENI SERIKALI CHADEMA IONGOZE NCHI HII MGOMBEA WA JIMBO LA KAHAMA CHADEMA JEMES LEMBELI

Mgombea Udiwani wakata ya Nyasubi Renard Mayalla kupitia Chadema akiwa katika kampeni za chama hicho katika  Mtaa wa mtakuja
Baadhi ya wanachama wa Chadema wakiwa katika uwanja wa Mtakuja wakisubiri Mgombea Ubunge kupitia Chama cha maendeleo Chadema Jemes Lembeli katika kampeni za chama hicho


Baadhi ya wakazi wa mtaa wa mtakuja wakisiliza sera za mgombea Udiwani kata Nyasubi Renard Mayalla .

Mgombea Ubunge jimbo la kahama kupitia chadema Jemes Lembeli akiwasili katika viwanja vya Mtaa wa mtakuja.
Mgombea Udiwani kata ya Nyasubi Renard Mayalla akiongea na wananchi wa mtaa wa mtakuja katika kampeni za uchanguzi wa mwaka huu
Nambeni kura Nirundi kuwatumikia kama zamani nitaongeza nguvu kubwa nikiwa na mbunge watu Jemes lembeli na Mgombea Urais Edward lowassa jana katika mtaa wa mtakuja.
Wanachama wakisikiriza sera katika viwanja vya mtakuja
Mjumbe wa mkutano mkuu wa chadema Sebastian Thobias(KOMAA)  mwenye shart nyeupe wakitete na baadhi ya viongozi wa kinamama katika mtaa wa mtakuja
Mjumbe wa mkutano mkuu wa chadema sebastien thobias (komaa)akimkaribisha mgombea Ubunge jimbo la kahama kupitia chadema Jemes Lembeli  mtaa wa mtakuja kata ya Nyasubi .
Mgombea Ubunge jimbo la kahama kupitia chadema Jemes Lembeli akihutubia wakazi wa mtaa wa mtakuja katika kampeni za uchanguzi wa mwaka huu.
Namuombea kura Diwani wa kata hii Renard Mayalla tufanya kazi pamoja na mgombea urais Edward lowassa awe Rais wa nchi yetu watanzania twende tukafanye kazi kwa pamoja ili kuondoa hawa mafisadi wakubwa lembeli Tunahitaji mabadiliko mwaka huu .
Wakazi wa mtaa wa mtakuja wakisikiliza sera za chama cha maendeleo chadema ambapo mgombea ubunge Jemes lembeli akiwahutubia wakazi hao
Wakazi wa mtakuja
Nipeni Diwani Renard Mayalla na Rais Edward Lowassa tufanye kazi kwa pamoja naomba kura zenu zote wacheni hawa wanaopita na sabuni ,sukari ,chumvi .a vibiri siyo viongozi hao tupeni sisi tufanya kazi
Viongozi watoa Rushwa ni tatizo sana Jemes Lembeli akiwa katika mtaa wa mtakuja akiomba kura .
Mimi niliondoka ccm kwa sababu ya kukisili kwa Rushwa na mambo mengi tu Jemes Lembeli .

«
Next
Newer Post
»
Previous
Older Post

No comments:

Leave a Reply