![]() |
| Buriani Catherine mussa mke wa Dj Doctor wa kahama mjini R I P Amina |
![]() |
| Dj Doctor mussa akilia kwa uchungu baada ya kuona mwili wa Mke wake wakati wa kuuanga kwa ajili ya safari yake ya mwisho hapa Dunia |
![]() |
| Mwili wa marehemu Catherine Mussa Muda mfupi baada ya kuwasili nyumba kwa mume kwake toka hoptali ya wilaya ya kahama |
![]() |
| Vijana wakishusha mwili wa marehemu catherine mussa toka Ndani gari baada ya kuwasili toka hospital |
![]() |
| Jamaa wakiwa wamebeba jeneza la mwili wa marehemu catherine musa wakati wa kuwasili nyumba kwa mume wake majengo kahama |
![]() |
| Waombolezaji |
![]() |
| Safari ya kwenda mji wa Sengerema kwa ajili ya maziko ya shemeji yetu mpendwa catherine mussa ilianza mchana |
![]() |
| Hivi ndiyo Safari ya kwenda Sengerema kwa ajili ya maziko ya mpendwa wetu cathaerine mussa |
![]() |
| Safari ya kwenda Sengerema kwenye nyumba yake ya milele |
![]() |
| Ndugu na jamaa na majira wakiwa na udhuni kubwa kwa kuunga mwili wa ndugu yao catherine Mussa |










