WAFANYAKAZI WA MGODI WA BUZWAGI ACACIA WAPANDA MAHAKAMANI KWA UTAPELI WA SARUJI.

 Ni maeneo ya machimbo 
Waliokuwa wafanyakazi katika Kampuni ya Acacia Buzwagi wamefikishwa katika Mahakama ya wilaya ya Kahama kwa kosa la Kugushi nyaraka na kujipatia mifuko ya saruji tani 800 kitapeli yenye thamani ya shilingi mil 320 mali ya AGAS Buliding Solution Company Limited ya Mjini
  Kahama.

 


Post a Comment

Previous Post Next Post